SEND US YOUR STORY OR PHOTO AND LETS HAVE FUN WITH THIS BLOG .

Thursday, June 27, 2013

wanawake mabikra mabinti anakaguliwa kama ni mabikra kwa mswati

inasikitisha sana huko kwa mfalume mswati mambo yanavyo fanika,,


kila mwaka uko swiziland kunasheria ya kukaguliwa mabinti na wassichana kama ni mabkra,, alafu anapelekewa mfalme mswati akachague wa kumuoa.. kwa kweli huu ni udhalilishaji na inabidi ukemewe.. kwa sababu wengine bado ni wadogo, kama unavyoona..No comments:

Post a Comment